Hallo! Tracked shipping to Netherlands with Delivery Duty Paid for just €7 

Ship to
Netherlands
0
  • argentina
  • chile
  • colombia
  • españa
  • méxico
  • perú
  • estados unidos
  • internacional

Select your country

Americas

Europe

Rest of the world

portada Kolonia Santita: Laana YA Panthera Tigrisi (Swahili Edition) (in Swahili)
Type
Physical Book
Publisher
Language
Swahili
Format
Hardcover
Dimensions
22.9 x 15.2 x 2.7 cm
Weight
0.75 kg.
ISBN13
9781477222966

Kolonia Santita: Laana YA Panthera Tigrisi (Swahili Edition) (in Swahili)

Enock Maregesi (Author) · Authorhouse UK · Hardcover

Kolonia Santita: Laana YA Panthera Tigrisi (Swahili Edition) (in Swahili) - Maregesi, Enock

New Book Imported to Netherlands
Delivery: 18 Aug - 20 Aug Shipping: 4 to 5 business days.
€ 42,99
Import costs and 9% BTW included in the price ✅
€ 42,99

Synopsis "Kolonia Santita: Laana YA Panthera Tigrisi (Swahili Edition) (in Swahili)"

'Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi' ni hadithi ya kusisimua ya kijasusi na madawa ya kulevya iliyoandikwa na Enock Abiud Maregesi. Inazungumzia vita kati ya Tume ya Dunia ya Umoja wa Mataifa, ya kudhibiti madawa ya kulevya na ugaidi wa kimataifa, 'World Drugs Enforcement Commission' (WODEC) au Tume ya Dunia; na shirika kubwa la madawa ya kulevya la Kolonia Santita (CS-14) la Kolombia na Meksiko. Inaelezea, kwa kinagaubaga, jitihada za pamoja kati ya Tume ya Dunia, Marekani na Meksiko za kuwasaka na hatimaye kuwatia nguvuni viongozi nduli wa CS-14; na kuzuia shehena (kubwa) ya madawa ya kulevya na malighafi ya nyukilia: kwenda Afrika, Asia, Amerika, Ulaya - na kung'oa mizizi ya shirika la CS-14, lote, katika nchi za Hemisifi a ya Magharibi - na duniani kwa jumla. Hiki ni kitabu cha kwanza cha aina yake cha kimataifa katika Tanzania. Lengo lake si tu kukata kiu ya wapenzi wa riwaya za kipelelezi na kufufua mwamko wa usomaji wa vitabu; ni kuleta, hali kadhalika, ufahamu na burudani ya kimataifa kwa Watanzania, Wakenya na Waganda - na jamii nzima ya Afrika ya Mashariki inayozungumza Kiswahili - na walowezi wa jamii yote ya Kiswahili duniani.

Customers reviews

Frequently Asked Questions about the Book

All books in our catalog are Original.
The book is written in Swahili .
The binding of this edition is Hardcover.

Questions and Answers about the Book

Do you have a question about the book? Login to be able to add your own question.

Opinions about Bookdelivery

More customer reviews